Ziara katika zahanati ya Goba
Mkurugenzi mtendaji Bi Fides Uiso alitembelea zanahati ya Goba ili kuzungumza na akina mama wajawazito pamoja na wenye watoto chini ya miaka mitano.
Mkurugenzi alizungumzia kuhusu namna bora ya kuwalea watoto wenye kifafa huku mama akitenga pia muda wa kufanya biashara zake za kumuingizia kipato.
Leave a Message