Mafunzo ya namna ya kulea mtoto mwenye epilepsy
Taasisi hutoa mafunzo na kuhamasisha wazazi hasa akina mama kuelewa namna ya kufanya malezi. kupata mafunzo haya tafadhari wasiliana nasi kupitia anuani yetu ama kwa njia ya whatsapp
Taasisi hutoa mafunzo na kuhamasisha wazazi hasa akina mama kuelewa namna ya kufanya malezi. kupata mafunzo haya tafadhari wasiliana nasi kupitia anuani yetu ama kwa njia ya whatsapp
Mkurugenzi akitimiza moja ya majukumu makuu ya Tanzania Epilepsy Foundation ambayo ni kuhamasisha wakina mama kujishulisha zaidi na mambo ya kiuchumi na malezi bora kwa familia
Mkurugenzi mtendaji Bi Fides Uiso alitembelea zanahati ya Goba ili kuzungumza na akina mama wajawazito pamoja na wenye watoto chini ya miaka mitano. Mkurugenzi alizungumzia kuhusu namna bora ya kuwalea watoto wenye kifafa huku mama akitenga pia muda wa kufanya biashara zake za kumuingizia kipato.
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support